Tamasha hili liliwakusanya watu wengi sana mkoani Iringa. Wasanii wa Bongo Movie kutoka Dar hawakukosa pamoja wa wabunge na viongozi wengine wa serikali. Viongozi wa dini walikusanyika kuhakikisha shughuli inaenda sawa.
Masanja akiingia jukwaani kwa style ya kikomandoo
Masanja akiwa na wapigashow wenzake wakiendeleza gwaride
Masanja akikagua gwaride
Masanja akiwa ameanza vitu vyake katika uzinduzi wa albam yake.
Umati wa watu uliofurika uwanjani kupata burudani
Masanja akisoma Risala kwa mgeni Rasmi
Wasanii wa Bongo Movies wakijitambulisha jukwaani wakiongozwa na Steve Nyerere
Ray akijitambulisha kwa mbwembwe
Wolper naye akijitambulisha kwa madaha
Mgeni Rasmi Naibu Wazri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo akizindua albamu ya Masanja
JB akitoa supoort kwa kununua albam(DVD na Audio CD)
Msanii Martha Mwaipaja naye akitumbuiza jukwaani
Msanii Martha Baraka naye hakuwa nyuma kuwapa burudani wanairinga
No comments:
Post a Comment